Zanzibar Elderly Outreach 2025 Registration Form

Event Dates: July 23-27, 2025

Location: Zanzibar, Tanzania

Join us in serving, uplifting, and creating lasting memories with our elders!

Payment & Registration Confirmation / Malipo na Uthibitisho wa Usajili

Participation Cost for Tanzanian Residents: TZS 370,000/ Gharama ya Ushiriki kwa Wakazi wa Tanzania: TZS 370,000/

This fee covers: / Gharama hii inajumuisha

Transport from Dar es Salaam to Zanzibar and back to Dar es Salaam / Usafiri wa kwenda na kurudi kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar

All meals from July 23 to 27, 2025 / Chakula chote kuanzia Julai 23 hadi 27, 2025

Accommodation for the entire event / Malazi kwa siku zote za tukio

Tourism experience within Zanzibar Island / Ziara ya utalii ndani ya Kisiwa cha Zanzibar

Registration Fee Payment Confirmation / Uthibitisho wa Malipo ya Ada ya Usajili ( Details on payment options will be provided after submission. /Maelezo ya chaguzi za malipo yatatolewa baada ya kuwasilisha fomu)

For more information, contact via / Kwa taarifa zaidi, wasiliana nasi kupitia:

WhatsApp: +255 744 861 893

Call/Text: +255 714 454 718

Scroll to Top